Ramani za Tathmini ya uharibifu Uliotokana na Mafuriko, Tarehe 3 Machi 2019

As a means of emergency response after a flooding event or inland inundation, flood mapping helps to estimate the extent of the flood on a large scale. It is a basis of coordinating appropriate damage assessment activities, and providing relief to the victims. This blog explains an approach of community flood response by community mapping methods and rapid assessment to determine extent and damage. Kama njia ya majibu ya dharura baada ya tukio la mafuriko, ramani ya mafuriko husaidia kukadiria kiwango cha mafuriko kwa kiasi kikubwa. Ni msingi wa kuratibu, kutathmini uharibifu, na…Read more

Utengenezaji wa ramani za mipaka ya shina

Baada ya mchakato wa kutambua maeneo yaliyo kwenye hatari kwenye mitaa 228 ya jiji la Dar es Salaam, Mradi wa Ramani Huria unaenda mbali zaidi na kutengeneza ramani za maeneo ya chini kabisa ya utawala yaliyopo Tanzania (shina). tunafanya hivi kwa kushirikiana na mradi wa Data Zetu  kusaidia katika kufanya maamuzi. Kujua anwani za watu wanapoishi ni ngumu sana kwenye mji ambao haujapangwa. Hivyo kutengeneza ramani hizi kutasaidia kutatua matatizo mengi ya ramani kwa mara ya kwanza. Suala hili ni la muhimu sana na litatumika katika maamuzi kuanzia watu binafsi hadi ngazi ya…Read more

Ramani za mitaa mia mbili ya Dar es salaam kutengenezwa na wanafunzi wa vyuo vikuu ndani ya wiki sita zijazo

Mnamo tarehe 23 mwezi Julai 2018 shirika la Humanitarian Openstreetmap Team (HOT) ilianza upanuzi wa mradi wa Ramani Huria unaofadhiliwa na benki ya dunia, Kufanya mafunzo kwa wanafuzi zaidi ya 400 ambao watatengeneza ramani za maeneo yenye hatari ya kukumbwa na mafuriko. Mwaka huu Ramani Huria inafanya kazi na wanafunzi kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam na Chuo kikuu cha Ardhi, na inalenga kufanya kazi na vyuo vingine miaka ijayo kama Chuo cha kilimo Sokoine kilichopo Morogoro na Chuo kikuu cha Jimbo la Zanzibar. Wanafunzi wanao shiriki katika mafunzo haya wanatoka katika…Read more

Ramani za Kijamiii ili kutengeneza kielelezo cha Mafuriko- Flood Modeling 2.0

Mradi wa Ramani Huria n moja kati ya miradi mikubwa ya kijamii inayotekelezwajijini Dar es Salaam. Matumizi makubwa ya taarifa za ramani  zinazokusanywa ni kuongeza ufahamu juu ya majanga ya mafuriko, mazingira ya kupata mafuriko na uwezekano, vipengele vyote vitatu vya mfumo wa hatari. Ramani ya aina hiii, vipimo na hali ya mtandao wa mifereji ya maji ni sehemu muhimu na ina uwezo wa kuanzisha mifano ya vielelezo vya mafuriko ya kina ambayo inaweza kutumika kuiga mfumo wa mafuriko katika uwezo usiokuwa wa kawaida. Mwanzoni tulieleza kuhusu hali ya ramani za mitaro kwenye…Read more

Kutengeneza Ramani kwa Ebola Congo; Kuongeza taarifa zaidi za jiografia kusaidia wanaopambana na ugonjwa huu huko Congo

“ Watu hawa hawajawahi kuwekwa kwenye ramani, hakuna mtu aliwahi kuwajali hata kuonyesha nyumba zao zilipo, kwa hiyo nyumba hizi mnazochora leo, ni kwa mara ya kwanza mmmejali kwa kiasi cha kuwaweka hawa watu walio kwenye vijiji vya mbali vya Congo kwenye ramani, Kuwa kwenye ramani ni kutambulika, ni kufahamika, ni kujulikana, ni kuhesabiwa. Ni dunia kujua kuwa una mahitaji, kwamba una thamani, kwamba una haki, na mumefanya haya kwa watu zaidi ya 150000 leo” Ivan Gayton. Tarehe 9 Juni Ramani Huria iliandaa Mapathon iliyokuwa na lengo la kuchora barabara na majengo kusaidia…Read more

Kutumia Vifaa Nafuu Kupima Mwinuko

Ramani Huria na Benki ya Dunia inajaribu kutafuta njia nzuri ya kupima mwinuko katika jiji la Dar es Salaam ili kuiunganisha na kielelezo cha mafuriko (flood model) ambacho kinaandaliwa. Kupima mwinuko kunahita mfululizo wa vipimo vigumu. Mwishoni mwa mwezi wa nne 2018. Wanafunzi watatu wa uhandisi kutoka chuo kikuu cha teknolojia cha Delft  Uholanzi- Huckleberry, Detmar and Martijn- waliwasili Dar es salaam ili kutengeneza vifaa nafuu/rahisi za kupima mwinuko. Watachukua takribani miezi miwili kufanya kazi na timu ya Ramani Huria. Wanaamini Ramani Huria ni timu yenye vijana wanaojituma na wanaweza kufanya Ramani za…Read more

Wiki ya Ubunifu 2018: Mahali BUNI Hub COSTECH

Tarehe 24 May 2018 Ramani Huria ilishiriki kwenye wiki ya ubunifu iliyoandaliwa na Mfuko wa Ubunifu wa maendeleo ya kibinadamu (Human Development Innivation Fund-HDIF) yaliyofanyika kwenye jengo la tumeya sayansi na Teknologia. Lengola sisi kushiriki ilikuwa ni kuonyesha namna gani ubunifu umesaidia mradi wa RAmani Huria Kufanya shughuli za utengenezaji ramani kwa usahihi na kwa kutumia gharama ndogo. Kauli mbiu ya Ramani Huria ni  “local people, local tools, open knowledge” (“wazawa, zana za wazawa na na ujuzi huru”), hii inalenga kwenye kuwapa nguvu wazawa kwa kutumia ubunifu na taarifa zinazohitajika katika kubadili jamii…Read more

Mkutano na wanajamii kwa ajili ya kutengeneza mpango wa kupambana na mafuriko

Mkutano ulifanyika kwenye mitaa miwili ya kata kigogo kama majaribio ili kuona ni jinsi gani taarifa za wanajamii zinaweza kuutumika kutengeneza mpango huu. Picha; Mkutano na Wana jamii. Tarehe 26 mwezi wa tatu 2018, Timu ya HOT Tanzania ilifanya mikutano ya majaribio kwenye mitaa ya Mbuyuni na Kigogo kati. Lengo kubwa la mkutano ilikuwa kuhamasisha majadiliano na wadau mbalimbali kama Mtendaji wa mtaa, Mwenyekiti wa mtaa Wajume, Asasi zisizo za kiserikali na mashirika ya kijamii kama Tegemeo. (Tegemeo ni shirika linalotoa elimu kwa jamii kwenye mambo ya elimu ya mazingira na kusaidia yatima-…Read more

Ramani Huria

Tangu  2015, Ramani Huria imekuwa ikipambana na mambo yanayohusu mafuriko jijini Dar es salaam ili kupunguza mafuriko na kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali maji.Sasa tupo kwenye awamu ya pili  ya mradi, Ramani Huria 2.0 imejikita kwenye kutengeneza ramani ya kata za Dar es salaam zilizo kwenye hatari zaidi ya mafuriko, kama vile Kigogo na Hananasif, ili kutengeneza taarifa za mafuriko ambazo baadaye zitatumika kufanya maamuzi na mipango ya kupunguza mafuriko. Timu ya Ramani Huria huanza kwa kujitambuisha kwa maofisa wa kata, kwa kuelezea mradi na kupewa baruua ya utangulizi kupeleka kwa watendaji wa…Read more

Wanafunzi na walimu wa chuo kikuu cha ardhi wafariwa mafunzo juu ya urasmishaji wa makazi

Ujanibishaji wa sasa unafanyika ili kurasmisha makazi yasiyo rasmi ya Dar es Salaam ambayo sasa inafikia asilimia 70 ya jiji. Kurasimisha makazi kunasaidia kutoa uhalali kwa jamii na kuongeza usalama wa umiliki wa wakazi na haki zao za ardhi. Kujenga makazi pia kunaruhusu mipango zaidi ya kudumu ya mji. Kwa bahati mbaya, mbinu za sasa za ukusanyaji wa taarifa kuelewa mipaka hii imesababisha taarifa zisizo sahihi kutokana na ushiriki mdogo wa wanajamii. Ili kusaidia kuboresha mbinu za kukusanya taarifa za sasa zinazohitajika kwa ujanibishaji, timu ya HOT  Tanzania imetoa siku tatu za mafunzo…Read more