Manzese ni kata iliyoko kaskazini mwa Dar Es Salaam ndani ya wilaya ya Kinondoni. Kwa mujibu wa sensa ya 2012, idadi ya watu ni 70,507.

Kata bado haijaboreshwa tena kwenye OpenStreetMap na timu za Ramani Huria.