Buguruni ni kata iliyo kusini magharibi mwa mji wa Dar Es Salaam . yenye takriban watu 70,585. Maeneo yaliyochini hukumbwa na mafuriko.

Kata hii bado haijaboreshwa kwenye OpenStreetMap na timu za Ramani Huria.