Kata

 

Mradi wa ramani huria umefanya kazi za ramani katika kata 19 ndani ya Dar es salaam. Kata hizi zilichaguliwa kwa sababu ndizo hukubwa na mafuriko sana katika jiji. Takwimu zilikusanywa kwa msaada wa wananchi wa kutoka eneo husika kwa kushirikiana na wanafunzi wa vyuo vikuu ambao walitengeneza ramani  kwa kutumia OpenStreetMap. Ramani hizo zinatumika katika upangaji ili kukabiliana na majanga  na pia zinapatikanika kwa wanajamii kwa matumizi mengineyo na ya kimaendeleo pia. Inaweza ukasoma zaidi kuhusu kazi tulizofanya katika kila kata kwa kufuata links zinazopatikanika chini.

mappedwards