Taarifa

 

Unaweza kupakua takwimu za OpenstreetMap kwaajili ya kata yoyote kupitia Ramani Huria Dar es Salaam kupitia ukurasa huu.Takwimu za OSM katika ukurasa huu zitahuishwa kila mara kata inapokusanywa taarifa.Tunatoa aina mbili ya mfumo wa takwimu ili uweze kupakua.yakwanza ni .mfumo wa shp.(takwimu za OSM) na mfumo wa pdf kwa ramani zilizokwisha kutengenezwa.kupakua takwimu unaweza kuchagua kata ipi ungependelea katika orodha ifuatayo chini iliyogawanywa katika wilaya tatu za Kinondoni,Ilala na Temeke.

Unaweza kupakua takwimu za OpenStreetMap  kwa Dar es salaam hapa.

 

 

Ramani za mifereji Dar zilitengenezwa kutegemea takwimu zilizokusanywa na wanajamii katika utengenezaji wa ramani na kuwekwa kwenye OpenStreetMap.soma kuhusu uzoefu wetu wa utengenezaji wa ramani za mifereji na njia za maji kwenye blogi yetu.

Hii ni sampo ya picha ya anga iliyokusanywa na drone.

Ward Specific Data