Kujenga uhatarishi

 

 

Lengo elekezi la RamaniHuria imekuwa kuboresha mahari pa kuishi kuepukana na mafuriko kwa maeneo yaliyoandaliwa ramani. Kufanya kazi kuelekea kufanikisha hili, wanajamii wanao andaa Ramani utambua maeneo ya ramani msingi ambayo ni zaidi huathirika zaidi na mafuriko. Baada ya hapo, wanatumia kalamu ya risasi na kuchora kwenye  ramani maeneo yote yanayokabiliwa na  mafuriko. Baada ya hapo karatasi hiyo inanakiliwa na taarifa zilizopo zinanyumbulishwa kwenda kwenye mfumo wa kidijitali kwa ajili ya kuwekwa kwenye OpenStreetMap.

Wakati ramani zilivyomalizwa, wliunganisha kwa pamoja na data nyingine za InaSAFE ilikuwasha programu kutoa mitazamo tofauti ya mafuliko . matokeo yalikusanywa na kufanikisha  maendeleo ya mafunzo ya maandalizi ya maafa kwa maafisa wa kata na wanajamii.

Nini maana ya InaSAFE?mappingforflood

InaSAFE ni programu ya bure  ambayo inatoa mtazamo mbalimbali ya kweli kuhusu matukio ya asili ya  hatari na  athari zake  kwa ajili ya upangaji bora, maandalizi, na shughuli za maandalizi. inatoa njia rahisi lakini ngumu kwa  kuchanganya data kutoka wanasayansi, serikali za mitaa na jamii kwa kutoa ufahamu katika athari ambazo zinaweza kutokea kwa wakati ujao.

InaSAFE ni programu ya bure na inapatikana bure katika vyanzo (FOSS), imechapisha kupitia leseni ya GPL V3 license, Unaweza kuipakua bure na kuisambaza(ukiitaji) na pia unaweza ukairekebisha iyo programu.

Jinsi ya kuiweka na kuitumia programu ya InaSAFE

InaSAFE ni kiprogramu kidogo kilichomo katika programu kubwa ya QGIS(na pia InaSAFE) inafanya kazi katika OS X, Windows na Linux, unaweza ukaipakuwa QGIS bure kwa kuoitia hapa download.qgis.org

Mara ukisha weka programu ya QGIS, unaweza ukaweka pia na kuitumia programu ya InaSAFE katika hatua 8 za kupitia. Fungua progamu ya sasa hiivi ya QGIS (1.7 au Bora zaidi) na kisha fanya yafuatayo

  1. Plugin ->fetch Python Plugins
  2. Andika InaSAFE kweneye box la kuandikia
  3. Tiki kwenye box pembezoni mwa programu ya ImnaSAFE plugn
  4. Bonyeza kwenye kitufe cha ingiza/ boresha plugin
  5. Funga plugin maneja na pia Inasafe itakua tayali kwa kutumia
  6. Angalia video ya utangulizi ilikuajua hatua mbalimbali za InaSAFE bonyeza hapa
  7. Fata mafunzo yanayotolewa katika sehemu za kijamii
  8. Pakua taarifa yeyote utakayo kupitia hapa http://data.inasafe.org

Ready to use InaSAFE?

Unaweza kupakua kupitia hapa : download.qgis.org na jifunze zaidi juu ya InaSAFE kupitia hapa:http://inasafe.org.

Pia unaweza fuata mabadiliko na maongezeko katika programu ya InaSAFE kwa kupenda ukrusa wa facebook https://www.facebook.com/inasafe