Tunachokifanya

Ramani kwa ajili ya kupambana na mafuriko na maendeleo

Ramani Huria ni mradi wa utengenezaji ramani wa kijamii Dar es salaam, Tanzania, mafunzo ya wanafunzi wa chuo na wanajamii kuandaa ramani zilizo sahihi zinazoonyesha maeneo ambayo ni hatarishi kwa mafuriko katika jiji. Baada ya ramani kutengenezwa, faida zake zimeongeneka na uwezo wake umekuwa, sasa zinasaidia kama msingi kwa ajiri ya maendeleo ndani ya mzunguko wa kijamii zaidi ya Mafuriko.


Jinsi tunavofanya

 

Utengenezaji Ramani

Ramani huria inafundisha wanafunzi na wanajamii kutengeneza ramani zilizo sahihi za jiji kwa kutumia njia kubwa za kukusanya takwimu

Kuchora

Kuunda maudhui kutoka kwenye ukusanyaji wa takwimu kutoka kwa wanajamii, tunashirikiana na OpenStreetMap – ni njia za ki web za kutengeneza ramani ambazo ni za bure na ni wazi kwa ajiri ya dunia nzima.

Kujenga uhatarishi

Kwa kutumia InaSAFE, ni programu ya bure ambayo hutengeneza takwimu za matokeo ya majanga, takwimu zetu husaidia kugewanya mipango, uandaaji na usaidiaji wa majanga

Usambazaji

Takwimu zote zilizokusanywa na Ramani Huria ni bure na zinafikika kwa kila mtu kuzitumia OpenStreetMap na kwenye page zetu hizi.


Hatua za Ramani Huria

Angalia video hii kuona Dar Ramani Huria inavyofanya kazi kusaidia ukakamavu wakati wa Mafuriko Dar es Salaam


 Ramani ya Dar es Salaam kabla na baada ya Ramani HuriaWapi tunatengeneza ramani

Dar Ramani Huria ni timu ya mafunzo ya wanafunzi na wanajamii kutoka Dar Es Salaam kuunda ramani za maeneo hatarishi kwa mafuriko za kisasa na sahihi katika mji. Bofya kwa kila Kata kujifunza zaidi.


Mpya kutoka blog

Hisia za Mwanzo za Ramani Huria

Kwa sasa asilimia 70 ya miundombinu Dar es Salaam haijapangwa, maana yake ni kwamba miundo mara nyingi hujengwa katika maeneo ya mafuriko na haijatengenezwa kwa kutosha ili kukabiliana na maji…read more →

Washirika wetu